MANILA

Sunday

CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUWA MWENYEJI WA MASHINDA YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI

Mashindano hayo yatajumuisha vyuo vipatavyo 43 ambapo wachezaji 2600 watashiriki michezo zaidi ya 14. mchezo wa riadha utachezwa katika Uwanja wa Taifa, wakati mchezo wa soka, netboli, mpira wa wavu, chesi, mpira wa magongo, raga, karate, tai kondo,mchezo wa kuogerea, mpira wa mikono na skrabo itafanyika katika viwanja vya chuo kikuu cha UDSM, ARDHI, na kambi ya LUGALO. hosteli za Mabibo ndizo zitakazo tumika kwa makazi ya washiriki wote.
TANZANIA itawakilishwa na vyuo 10. 
PAMOJA TUTAJENGA

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.