MANILA

Sunday

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (BACHELOR OF PHYSICAL EDUCATION AND SPORT SCIENCE) PESS

The programme aims at advancing the theory and practice of Physical Education and Sport Sciences in the context of evolving studies in PE and Sport sciences,  providing teaching and research in Physical Educations  and Sports Sciences in order to produce competent personal capable of entering a variety of carrier other than teaching and coaching and providing unique opportunities for interdisciplinary studies of Physical Education and sport sciences and the allied subjects. More specifically the B.Ed PESS programme aims to:

•  Equip students with a thorough understanding of a broad range of scientific     theories and     practices in Kinesiology, Leisure and Sports.
•  Facilitate students’ participation in physical education and sport at recreational and     competitive levels.
•  Provide students with the right methods to translate theory into practice, and conduct research studies and practical fieldwork in Physical Education, Leisure and Sports and to enhance high quality provision of a holistic and lifelong education     in physical activities.
•  Create accessible and flexible professional opportunities for all people involved in Physical Education.
•  Avail students to scholarly inquiry, productive interaction and effective dissemination of knowledge.
•  Produce highly qualified personnel in physical education and sports.
•  Inform students about recent developments in Physical Education, Sports, Leisure and     Recreation Management.
•  Develop students’ skills, competencies, attitudes and knowledge in Physical Education, Sports, Leisure and Recreation Management

Course Structure

Semester I Units
   
DS 101 : Development Perspective 1 2
PE 100: Foundations of Physical Education
3
PE 101 Human Anatomy and Physiology
3
PE 106: Track and Field Athletics
3
PE 103: Swimming, Gymnastics and traditional games
3
PE 108: Sports Biomechanics
3
Sub Total
17 Units
Semester 2
CL 106: Communication skills
3
EF 100: Principles of Education
3
CT 102 Computer Literacy for teachers
3
EP 101 Introduction to Educational Psychology
3
CT 100 Introduction to teaching
3
CT 101 Teaching Practice
3
Sub Total
18 Units
SECOND YEAR
Semester 1:

DS 102 : Development Perspectives 2
2
CT 200 : Principles of Curriculum Development and Teaching
3
PE 208: Life saving
3
PE 212: Basketball and Netball
3
CT 201 : Educational Media and Technology
3
PE 206: Theory and practice of fitness and health
3
Sub Total
18 Units.
Semester 2:

EF 200 History of Education in East Africa
2
PE 204: Sports Psychology
3
PE 20_: Exercise Physiology
3
PE 210: Soccer and Volleyball
3
xxx : Elective(1) 3
CT 202 Teaching Practice 3
Sub Total
17 Units.
List of Electives
 
PE 214 : Legal and ethical issues in physical education and sports
3
PE213 : Sports, Society and Development
3
THIRD YEAR
Semester 1:

EA 300: Management of education and school administration
3
EP 300: Educational measurement and evaluation
3
EP 302: Research methods in education
3
PE 300: Sports medicine
3
PE 308: Physical education in schools and colleges
3
PE 311: Theory and methods of sports training 3
Sub Total
18 Units
Semester 2:
 

EF 303: Professionalism and ethics in education
3
EP 301: Educational statistics
3
PE 309: Racket games (Tennis and Table Tennis)
3
PE 303: Motor learning and adapted physical education
3
PE 310: Organisation and administration of physical education
3
xx xxxx: Elective(1)
3
Sub Total
18 Units
   
List of Electives  
PE 307: Aerobics 3
PE 315: Measurement and evaluation in physical education and sports 3
PE 314: handball and Badminton 3
PE 304: Sports journalism and marketing 3

Saturday

FERGUSON ANAAMINI GADIOLA HATOENDA GERMANY

SIR ALEX BABU... amesema kua hana uwakika kwamba GADIOLA atakubali kupewa kibarua katika timu ya BEYERN MUNUCH... hivyo anaamini atakwenda ENGLAND

BAYERN MUNICH FC MACHO KWA GADIOLA

club ya mpira ya UJERUMANI Beyern Munich inatizamia kumkabizi kibarua aliyekua kocha wa timu ya SPANIA Bacelona fc.....
goodluck brother

YANGA VS BLACK LEOPARD 3 KWA 2

Yanga wakiwa wenyeji kwenye uwanja wa Taifa wameweza kuondoka na ushindi kutoka UTURUKI na kujivunia maandalizi yao… mabao mazuri yaliyiowekwa wavuni na Jery Tegete (2) na frank Domayo (lampard) yalitosha kabisa kuwapa tarrifa wapinzani wao Simba kwamba UTURUKI hawakwenda kushangaa hotel za kifahali,,,,,
KILA LA KHERI YANGA FC

Friday

UNIVERSITY EXAMINATION (SEMISTER I)

Wanafunzi wa vyuo vikuu nchi wanaanza mitihani kwaajir ya kumaliza semista ya kwanza ya mwaka wa masomo 2012/2013
Chuo Kikuu cha taifa (UNIVERSITY OF DAR-ES-SALAAM) Ijumaa hii wanaanza mitihani hiyo.
Kila la KHERI katika kipindi hichi cha mitihan kwa wasomi wote wa taifa hili
MUNGU AWE PAMOJA NASII

UNIVERSITY EXAMINATION

Sunday

WATANZANIA WAMEFAULI MTIHANI WA FINA DARAJA LA TATU

Watanzania 35 tumefuzu ukocha FINA..
mtihani huo ulifanyika katika kozi iliyofanyika tarehe 15 hadi 17 desemba 2012 katika chuo kikuu cha DAR ES SALAAM.... maarifa tuliyoyapata tutayatumia vyema katika kuendeleza taifa letu kwenye mchezo wa kuogerea.....
PAMOJA TUTAJENGA

CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUWA MWENYEJI WA MASHINDA YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI

Mashindano hayo yatajumuisha vyuo vipatavyo 43 ambapo wachezaji 2600 watashiriki michezo zaidi ya 14. mchezo wa riadha utachezwa katika Uwanja wa Taifa, wakati mchezo wa soka, netboli, mpira wa wavu, chesi, mpira wa magongo, raga, karate, tai kondo,mchezo wa kuogerea, mpira wa mikono na skrabo itafanyika katika viwanja vya chuo kikuu cha UDSM, ARDHI, na kambi ya LUGALO. hosteli za Mabibo ndizo zitakazo tumika kwa makazi ya washiriki wote.
TANZANIA itawakilishwa na vyuo 10. 
PAMOJA TUTAJENGA

TAARIFA YA MADAI YA WALIMU YALIYOLIPWA KATI YA TAREHE 1 JULAI HADI 30 DESEMBA, 2012

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imelipa jumla ya madai ya walimu yenye thamani ya shilingi 554,390,879.67 kati ya tarehe 1 Julai na 30 Desemba, 2012. Malipo haya yamefanywa kwa walimu wa halmashauri za wilaya walio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wakufunzi, walimu, pamoja na wakuguzi wa shule wa Kanda na wilaya walio chini ya katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Malipo haya yamefanywa kwa kutumia hundi na si kwa kuingizwa moja kwa moja kwenye akaunti za wanaodai kama ilivyokuwa hapo awali. 

Ili kurahisisha zoezi la usambazaji/ugawaji wa hundi hizi kwa wahusika na kupata mrejesho wa haraka wa malipo hayo. Utaratibu ufuatao utafuatwa;

1.    Hundi za walimu walio katika Halmashauri za wilaya zitapelekwa kwa Katibu Tawala wa Mikoa husika ili Afisa Elimu wa Mkoa kusaidia kuzipeleka kwa wahusika;

2.   Hundi za wakufunzi na walimu walio katika Vyuo vya Ualimu zitapelekwa kwa wakuu wa vyuo vya ualimu husika;

3.   Hundi za wakaguzi wa shule wa kanda na wilaya zitapelekwa kwa Mkaguzi Mkuu wa Shule wa Kanda husika.

4.   Hundi za madai ya walimu ambayo kwa sasa ni mirathi zitapelekwa kwenye mahakama zilizofunguliwa mirathi hiyo.

Tunashauri wahusika wapewa hundi hizo ndani ya mwezi mmoja toka tarehe zilipopokelewa. Kwa hundi ambazo wahusika hawatakuwa wemejitokeza ndani ya mwezi mmoja ni vyema zikarejeshwa kwa katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Kwa maelezo ya ziada, tafadhali wasiliana na Mhasibu Mkuu wa Wizara kwa namba za simu +255 22 2126828.


IMETOLEWA
KATIBU MKUU

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

10/10/2013

MASHABIKI WA AZAM FC WAKISHABIKIA USHINDI

Baada ya kuwafunga TUSKER FC kwa mabao 2-1, ambayo yamepachikwa kimyani(wavuni) na wachezaji JOCKINS ATUDO na GAUDANCE MWAIKIMBA

KIKOSI CHA FAINAL YA MAPINDUZI CUP

Kikosi hicho kilichokua na wachezaji wapya wengi waliosajiriwa hivi karibuni wameonesha matumaini makubwa kwa mashabiki baada ya kuifunga TUSKER na kutwaa ubingwa...........
BIG UP AZAM

TUSKER FC

MAPINDUZI CUP (AZAM VS TUSKER)


fainal kati ya azam na tusker ya kenya

Saturday

JOH MAKINI, LORD EYES na NIKKI WA II (WEUSI)

Watapiga show leo ndani ya CLUB AQ, usikose show ya weusi skondeeeeeee

UFARANSA IKO RADHI KUTOA VIKOSI KWA MALI

Hata hivyo Rais Francois Hollande amesema nchi yake itaweza tu kufanya hivyo ikiwa Umoja wa Mataifa utawaidhinisha... bbc

Friday

wakufunzi kutoka kitovu cha elimu (soed) baada ya kushina mechi dhidi ya wanainjinia wa COET chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (UDSM)
WINNERS 2012/2012 INTER COLLEGE COMPETITION
chini ya uzamini wa VODACOM TZ

FINAL DAY, BACK STAGE

before  the game to start at MABIBO hostel between SOED vs COET

PHYSICAL EDUCATION

Physical education trainees cooperation... medium creation

blog yangu

hii ni blog yangu, mnakaribishwa nyote